﷽
بسم الله الرحمن الرحیم
ﯜ
ﯝ
ﯞ
ﯟ
ﯠ
ﯡ
ﯢ
ﯣ
ﯤ
ﯥ
ﯦ
ﯧ
هل اتى على الانسان حين من الدهر لم يكن شييا مذكورا ۱
barwani | Hakika kilimpitia binaadamu kipindi katika zama ambacho kwamba hakuwa kitu kinacho tajwa. |
---|
ﯨ
ﯩ
ﯪ
ﯫ
ﯬ
ﯭ
ﯮ
ﯯ
ﯰ
ﯱ
ﯲ
انا خلقنا الانسان من نطفة امشاج نبتليه فجعلناه سميعا بصيرا ۲
barwani | Hakika Sisi tumemuumba mtu kutokana na mbegu ya uhai iliyo changanyika, tumfanyie mtihani. Kwa hivyo tukamfanya mwenye kusikia, mwenye kuona. |
---|
ﯳ
ﯴ
ﯵ
ﯶ
ﯷ
ﯸ
ﯹ
ﯺ
انا هديناه السبيل اما شاكرا واما كفورا ۳
barwani | Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru. |
---|
ﯻ
ﯼ
ﯽ
ﯾ
ﯿ
ﰀ
ﰁ
انا اعتدنا للكافرين سلاسل واغلالا وسعيرا ۴
barwani | Hakika Sisi tumewaandalia makafiri minyororo na pingu na Moto mkali. |
---|
ﰂ
ﰃ
ﰄ
ﰅ
ﰆ
ﰇ
ﰈ
ﰉ
ﰊ
ان الابرار يشربون من كاس كان مزاجها كافورا ۵
barwani | Hakika watu wema watakunywa katika vinywaji vilivyo changanyika na kafuri, |
---|
ﭑ
ﭒ
ﭓ
ﭔ
ﭕ
ﭖ
ﭗ
ﭘ
عينا يشرب بها عباد الله يفجرونها تفجيرا ۶
barwani | Ni chemchem watakao inywa waja wa Mwenyezi Mungu, wakiifanya imiminike kwa wingi. |
---|
ﭙ
ﭚ
ﭛ
ﭜ
ﭝ
ﭞ
ﭟ
ﭠ
يوفون بالنذر ويخافون يوما كان شره مستطيرا ۷
barwani | Wanatimiza ahadi, na wanaiogopa siku ambayo shari yake inaenea sana, |
---|
ﭡ
ﭢ
ﭣ
ﭤ
ﭥ
ﭦ
ﭧ
ﭨ
ويطعمون الطعام على حبه مسكينا ويتيما واسيرا ۸
barwani | Na huwalisha chakula, juu ya kukipenda kwake, masikini, na yatima, na wafungwa. |
---|
ﭩ
ﭪ
ﭫ
ﭬ
ﭭ
ﭮ
ﭯ
ﭰ
ﭱ
ﭲ
ﭳ
انما نطعمكم لوجه الله لا نريد منكم جزاء ولا شكورا ۹
barwani | Hakika sisi tunakulisheni kwa wajihi wa Mwenyezi Mungu. Hatutaki kwenu malipo wala shukrani. |
---|
ﭴ
ﭵ
ﭶ
ﭷ
ﭸ
ﭹ
ﭺ
ﭻ
انا نخاف من ربنا يوما عبوسا قمطريرا ۱۰
barwani | Hakika sisi tunaiogopa kwa Mola wetu Mlezi hiyo siku yenye shida na taabu. |
---|
ﭼ
ﭽ
ﭾ
ﭿ
ﮀ
ﮁ
ﮂ
ﮃ
ﮄ
فوقاهم الله شر ذالك اليوم ولقاهم نضرة وسرورا ۱۱
barwani | Basi Mwenyezi Mungu atawalinda na shari ya siku hiyo, na atawakutanisha na raha na furaha. |
---|
ﮅ
ﮆ
ﮇ
ﮈ
ﮉ
ﮊ
وجزاهم بما صبروا جنة وحريرا ۱۲
barwani | Na atawajazi Bustani za Peponi na maguo ya hariri kwa vile walivyo subiri. |
---|
ﮋ
ﮌ
ﮍ
ﮎ
ﮏ
ﮐ
ﮑ
ﮒ
ﮓ
ﮔ
ﮕ
ﮖ
متكيين فيها على الارايك ۖ لا يرون فيها شمسا ولا زمهريرا ۱۳
barwani | Humo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali. |
---|
ﮗ
ﮘ
ﮙ
ﮚ
ﮛ
ﮜ
ﮝ
ودانية عليهم ظلالها وذللت قطوفها تذليلا ۱۴
barwani | Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini. |
---|
ﮞ
ﮟ
ﮠ
ﮡ
ﮢ
ﮣ
ﮤ
ﮥ
ﮦ
ويطاف عليهم بانية من فضة واكواب كانت قواريرا ۱۵
barwani | Na watapitishiwa vyombo vya fedha na vikombe vya vigae, |
---|
ﮧ
ﮨ
ﮩ
ﮪ
ﮫ
ﮬ
قوارير من فضة قدروها تقديرا ۱۶
barwani | Vya fedha safi kama kiyoo, wamevipima kwa vipimo. |
---|
ﮭ
ﮮ
ﮯ
ﮰ
ﮱ
ﯓ
ﯔ
ويسقون فيها كاسا كان مزاجها زنجبيلا ۱۷
barwani | Na humo watanyweshwa kinywaji kilicho changanyika na tangawizi. |
---|
ﯕ
ﯖ
ﯗ
ﯘ
ﯙ
عينا فيها تسمى سلسبيلا ۱۸
barwani | Hiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil. |
---|
ﯚ
ﯛ
ﯜ
ﯝ
ﯞ
ﯟ
ﯠ
ﯡ
ﯢ
ﯣ
ﯤ
۞ ويطوف عليهم ولدان مخلدون اذا رايتهم حسبتهم لولوا منثورا ۱۹
barwani | Na watawazungukia kuwatumikia wavulana wasio pevuka, ukiwaona utawafikiri ni lulu zilizo tawanywa. |
---|
ﯥ
ﯦ
ﯧ
ﯨ
ﯩ
ﯪ
ﯫ
ﯬ
واذا رايت ثم رايت نعيما وملكا كبيرا ۲۰
barwani | Na utakapo yaona, utakuwa umeona neema na ufalme mkubwa. |
---|
ﯭ
ﯮ
ﯯ
ﯰ
ﯱ
ﯲ
ﯳ
ﯴ
ﯵ
ﯶ
ﯷ
ﯸ
ﯹ
ﯺ
ﯻ
عاليهم ثياب سندس خضر واستبرق ۖ وحلوا اساور من فضة وسقاهم ربهم شرابا طهورا ۲۱
barwani | Juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi, na hariri nzito ya at'ilasi. Na watavikwa vikuku vya fedha, na Mola wao Mlezi atawanywesha kinywaji safi kabisa. |
---|
ﯼ
ﯽ
ﯾ
ﯿ
ﰀ
ﰁ
ﰂ
ﰃ
ﰄ
ان هاذا كان لكم جزاء وكان سعيكم مشكورا ۲۲
barwani | Hakika haya ni malipo yenu; na juhudi zenu zimekubaliwa. |
---|
ﰅ
ﰆ
ﰇ
ﰈ
ﰉ
ﰊ
ﰋ
انا نحن نزلنا عليك القران تنزيلا ۲۳
barwani | Hakika Sisi tumekuteremshia Qur'ani kidogo kidogo. |
---|
ﰌ
ﰍ
ﰎ
ﰏ
ﰐ
ﰑ
ﰒ
ﰓ
ﰔ
ﰕ
فاصبر لحكم ربك ولا تطع منهم اثما او كفورا ۲۴
barwani | Basi ngojea hukumu ya Mola wako Mlezi wala usimt'ii miongoni mwao mwenye dhambi au mwenye kufuru. |
---|
ﰖ
ﰗ
ﰘ
ﰙ
ﰚ
ﰛ
واذكر اسم ربك بكرة واصيلا ۲۵
barwani | Na likumbuke jina la Mola wako Mlezi asubuhi na jioni; |
---|
ﭑ
ﭒ
ﭓ
ﭔ
ﭕ
ﭖ
ﭗ
ﭘ
ومن الليل فاسجد له وسبحه ليلا طويلا ۲۶
barwani | Na usiku msujudie Yeye, na umtakase usiku, wakati mrefu. |
---|
ﭙ
ﭚ
ﭛ
ﭜ
ﭝ
ﭞ
ﭟ
ﭠ
ﭡ
ان هاولاء يحبون العاجلة ويذرون وراءهم يوما ثقيلا ۲۷
barwani | Kwa hakika watu hawa wanapenda maisha ya kidunia, na wanaiacha nyuma yao siku nzito. |
---|
ﭢ
ﭣ
ﭤ
ﭥ
ﭦ
ﭧ
ﭨ
ﭩ
ﭪ
ﭫ
ﭬ
نحن خلقناهم وشددنا اسرهم ۖ واذا شينا بدلنا امثالهم تبديلا ۲۸
barwani | Sisi tumewaumba, na tukavitia nguvu viungo vyao. Na tukitaka tutawabadilisha mfano wao wawe badala yao. |
---|
ﭭ
ﭮ
ﭯ
ﭰ
ﭱ
ﭲ
ﭳ
ﭴ
ﭵ
ﭶ
ﭷ
ان هاذه تذكرة ۖ فمن شاء اتخذ الى ربه سبيلا ۲۹
barwani | Hakika haya ni mawaidha; basi anaye taka atashika Njia ya kwenda kwa Mola wake Mlezi. |
---|
ﭸ
ﭹ
ﭺ
ﭻ
ﭼ
ﭽ
ﭾ
ﭿ
ﮀ
ﮁ
ﮂ
ﮃ
ﮄ
وما تشاءون الا ان يشاء الله ۚ ان الله كان عليما حكيما ۳۰
barwani | Wala hamwezi kutaka ila atakapo Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye ilimu, Mwenye hikima. |
---|
ﮅ
ﮆ
ﮇ
ﮈ
ﮉ
ﮊ
ﮋ
ﮌ
ﮍ
ﮎ
ﮏ
ﮐ
يدخل من يشاء في رحمته ۚ والظالمين اعد لهم عذابا اليما ۳۱
barwani | Humuingiza amtakaye katika rehema yake. Na wenye kudhulumu amewawekea adhabu iliyo chungu. |
---|

قرآن - سوره ۷۶ انسان - آیه ۱