﷽
بسم الله الرحمن الرحیم
ﭩ
ﭪ
ﭫ
ﭬ
ﭭ
اذا زلزلت الارض زلزالها ۱
barwani | Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake! |
---|
ﭮ
ﭯ
ﭰ
ﭱ
واخرجت الارض اثقالها ۲
barwani | Na itakapo toa ardhi mizigo yake! |
---|
ﭲ
ﭳ
ﭴ
ﭵ
ﭶ
وقال الانسان ما لها ۳
barwani | Na mtu akasema: Ina nini? |
---|
ﭷ
ﭸ
ﭹ
ﭺ
يوميذ تحدث اخبارها ۴
barwani | Siku hiyo itahadithia khabari zake. |
---|
ﭻ
ﭼ
ﭽ
ﭾ
ﭿ
بان ربك اوحى لها ۵
barwani | Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia! |
---|
ﮀ
ﮁ
ﮂ
ﮃ
ﮄ
ﮅ
ﮆ
يوميذ يصدر الناس اشتاتا ليروا اعمالهم ۶
barwani | Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao! |
---|
ﮇ
ﮈ
ﮉ
ﮊ
ﮋ
ﮌ
ﮍ
فمن يعمل مثقال ذرة خيرا يره ۷
barwani | Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona! |
---|
ﮎ
ﮏ
ﮐ
ﮑ
ﮒ
ﮓ
ﮔ
ومن يعمل مثقال ذرة شرا يره ۸
barwani | Na anaye tenda chembe ya uovu atauona! |
---|

قرآن - سوره ۹۹ زلزله - آیه ۱